Monday 7 September 2015




 Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. John Pombe Magufuli
 Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
 Sehemu ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni
 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwasili kwa shangwe katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni
 Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao