Tuesday 29 April 2014

MFAHAMU ALIYETUNGA JINA LA TANZANIA

 MOHAMMED IQBAL DAR.
Nimeona niwafahamishe hili huenda likatusaidia hasa kwa hivi sasa wakati tukisherekea miaka 50 Muungano, najua wengi wetu hatujui historia ya Muungano wa Tanganyika na  Zanzibar  maana tuliwakuta waasisi wetu wameishafanya zoezi hilo , tusilijadili sana kwa kuwa lengo lao lilikuwa zuri.
Lakini je unamjua huyu Bwana aliyetunga jina la Tanzania pata historia ya namnaalivyofanikiwa kupata jina la T A N Z A N I A.
Sherehe za Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huwa tunasherekea kila Mwaka Tarehe 26/04/ lakini Tangu mimi binafsi nipate ufahamu na kuanza kushuhudia sherehe za Muungano nimekuwa nikisikia kuwa jina la Tanzania lilipendekezwa na Watanganyika, Wazanzibar na Raia wengine wa nje lakini sikuwahi kukutana na huyo ambae alibuni jina hili tamu la Tanzania .
Imekuwa kama Bahati nimekutana na Mtu huyu aliyebuni jina la Tanzania Mkoani Mtwara, sehemu ambayo tayari naiweka kwenye Historia yangu hata kesho nikiondokaMtwara nitaikumbuka Radio yangu Safari Radio.
Huyu bwana aliyebuni jina la Tanzania ni Muhindi na Dini yake ni AHMADIYA MUSLIM JAMAAT TANZANIA majina yake ni MOHAMMED IQBAL DAR.
Mohammed alizaliwa Mkoani Tanga miaka ya 1944, Baba mzazi wa Mohammed alikuwa Daktari huko mkoani Morogoro alikuwa anaitwa Dr. T  A DAR  alikuwa Tanganyika kuanzia mwaka 1930.
Mohammed Iqbal Dar alipata elimu yake ya Msingi Mkoani Morogoro shule ya Msingi H H D AGHAKHAN kwa sasa ni Shule ya Serikali na baada ya hapo alikuja baadae kujiunga na Chuo cha Mzumbe akasoma Kidato cha Kwanza mpaka cha Sita.
Aliingiaje kwenye shindano la kupendekeza  jina la Muungano kati Tanganyika na Zanzibar ?
Mohammed anasema alikuwa Maktaba akijisoma gazeti la Tanganyika Standard, siku hizi Daily News, akaona Tangazo linasema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unafahamika kama Republic of Tanganyika and Zanzibar jina likaonekana refu sana kwa hiyo Wananchi wote wakaombwa Washiriki kwenye shindano la Kupendekeza jina moja litakalo zitaja nchi zote mbili yaani Tanganyika na Zanzibar Mohammed Iqbal Dar anasema aliamua kuingia kwenye Shindano na hivi ndivyo alianza Safari ya Kubuni Jina la Muungano.
Kwanza anasema alichukua karatasi akaandika Bismillah Raahman Rahimu hii ni kutokana na Imani yake na baada ya hapo akaandika jina la  Tanganyika  baada ya hapo akaandika Zanzibar halafu akaandika jina lake   Iqbal halafu akaandika jina la Jumuiya yake ya Ahmadiya baada ya Hapo akamrudia tena Mwenyezi Mungu akamwomba amsaidie ili apate jina zuri kutoka katika majina hayo aliyokuwa ameyaandika. Baada ya hapo Mohammed Iqbal Dar alichukua herufi tatu kutoka Tanganyika yaani TAN na kwa upande wa Zanzibar akachukua Herufi tatu za Mwanzo ZAN ukiunganisha unapataTANZAN alivyoona hivyo akachukua  I herufi ya kwanza katika jina lake la Iqbal na akachukuaA kutoka jina la dini yake yaani Ahmadiyya kwa maana hiyo ukiongeza herufi hizi mbili I na Akwenye TANZAN unapata jina kamili TANZANIA akalisoma jina akaliona ni zuri lakini akajiridhisha pia kwamba akiongeza herufi hizo za I na A kwenye TANZAN italeta maana kwakuwa nchi nyingi za Afrika zinaishia na IA, mfano EthiopIAZambIA ,NigerIATunisIASomalIAGambIANamibIALiberIAMauritanIA alivyoona hivyo akaamua apendekeze kuwa jina TANZANIA ndio litumike kuwakilisha nnchi hizi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar kwa maana hiyo jina TANZANIA limezaliwa kutoka majina manne majina hayo ni Tanganyika, Zanzibar, Iqbal na Ahmadiyya.
Mohammed Iqbal Dar baada ya kupata jina  hilo  akalituma jina hilo kwenye kamati ya kuratibu  Shindano. Baada ya Muda mwingi kupita baba yake na Mohammed Iqbal Dar alipokea barua nzito kutoka Serikalini ikiwa inasomeka kama ifuatavyo…
                                                            
                                                            REPRESENTED BY THE
                                 MINISTRY OF INFORMATION AND TOURISM , TANZANIA
                                                                          TO
                                                          MOHAMED IQBAL DAR
                 IN RECOGNATION OF THE ACHIEVEMENT OF CHOOSING THE NEW NAME FOR THE
                                    UNITED REPUBLIC OF TANGANYIKA AND ZANZIBAR NAMELY
                                                       “ REPUBLIC OF TANZANIA ”
                        DURING THE NATIONAL COMPETITION DAY IN 19TH NOVEMBER 1964
                                                                   I A WAKAL
                                  MINISTER FOR INFORMATION AND TOURISM

Barua hiyo pia ilisema...
Utakumbuka kuwa miezi michache iliyopita ulituandikia kutupa ushauri kuhusu jina jipya la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar   na wewe pamoja na wananchi wenzio 16 ulishauri nnchi yetu iitwe Tanzania . Nafurahi kukuarifu kuwa mshirikiane ile Zawadi ya sh. 200 iliyoahidiwa na leo nakuletea check ya sh. 12/50 ikiwa ni hisa yako katika zile sh.200. Nashukuru sana kwa jitihada ya kufikiri jina la Jamuhuri yetu.
Barua ikasainiwa na Idrisa Abdul Wakil Waziri wa Habari na utalii kipindi hicho.
Sasa kwa nini Mohamedi Iqbal Dar anadai yeye kuwa mshindi pekee wakati barua ilikuwa inaonyesha kulikuwa na washindi wengine 15 ambao nao walishinda?
Jibu ni kuwa wakati wa kutolewa kwa Zawadi hizo hakuna aliyejitokeza zaidi ya Bwana Mohammed Iqbal Dar na Bwana Yusufal Pir Mohamed ambaye hata hivyo alikosa sifa baada ya kushindwa kutoa barua ya kumpongeza kuwa ameshinda kwa madai kuwa Barua ameipoteza, hivyo Wizara ya Habari na Utalii iliamua kumtangaza bwana Mohammed Iqbal Dar kuwa Mshindi na kumpatia zawadi yote ya sh.200/; pamoja na Ngao.
Bwana Mohammedi Iqbal Dar anasema anachosikitika ni kuwa mchango wake bado Watanzania hawathamini mchango wake lakini yeye anaipenda Tanzania na anajivunia kuwa Mtanzania japo anadhani dini yake ya Uislamu ndiyo tatizo hawataki kutambua mchango wake ila anaamini kuwa siku moja ukweli utajulikana.
Hayo ni maelezo ya Mohammed Iqbal Dar ambaye kwa sasa anaishi Uingereza kwa kuwa huko ndiko alipata kazi eneo la Birmigham b35 6ps UK , Dar– es-Salaam House, 18 TURNHOUSE ROAD , PHONE 44 121-747-982244 121-747-9822
Nimeona niwatumie hii wadau wangu ili tuweze kuongeza ufahamu na kama ulikuwa unalijua hili basi nimekukumbusha pia mambo yalivyokuwa miaka ya 1964

Monday 28 April 2014


For immediate release: Monday 28th April 2014
Ukraine asset recovery meeting must examine banks' role in state looting
Efforts to recover stolen assets from the Ukraine need to paired with proactive steps to stop banks enabling state looting, said Global Witnessas the international community gathers in London for  the Ukraine Forum on Asset Recovery (UFAR).
Led by the UK, US and Ukraine, representatives from national governments and international financial centres will meet in London for two days to discuss tracing and seizing the proceeds of corruption in the Ukraine following the deposition of former president Viktor Yanukovych. While this initiative is welcome, Global Witness is calling on the international community to do much more to tackle corruption at the source by ensuring that banks refuse money thought to have been acquired through corrupt means.  
“The recovery of stolen assets is difficult, time consuming and expensive. It would be much better if we could stop the money going missing in the first place,” said Robert Palmer, leader of the Money Laundering Campaign at Global Witness. “If the money is so obviously corrupt, banks in London, New York and other big financial centres shouldn’t be handling it and governments shouldn’t be letting them do so."
A 2011 report from the UK financial regulator found that three quarters of banks in the UK were not doing enough to turn away potentially corrupt funds. Global Witness is calling on governments to take a much tougher line on banks that handle stolen loot, including holding  senior executives to account for these failings.
/Ends
Contact: Oliver Courtney, +4

Sunday 27 April 2014


Commissioner Tumusiime receives UN-OCHA representative to the AU
Description: 5Addis Ababa, April 2014 – Her Excellency Tumusiime Rhoda Peace, Commissioner for Rural Economy and Agriculture on Thursday 24 April 2014 received Mrs. Janine M. Cooper, the   United Nations Organization for the Coordination of Humanitarian Assistance (OCHA) Representative to the African Union at her office in the AU Commission in Addis Ababa, Ethiopia.
The two parties discussed issues pertaining to the AU Year of Agriculture and Food Security and focused more on issues of building resilience and reducing vulnerability especially in the Horn of Africa and the Sahel Region given the persisting climate change and disaster risks.
The Commissioner highlighted the relevant programmes of the AU including the Climate for Development in Africa (ClimDev Africa), the Monitoring of Environment for Security in Africa (MESA), the African Risk Capacity (ARC) and the Great Green wall for the Sahara and Sahel as being areas of greater emphasis.
They agreed to do coordinate their efforts more closely to heighten advocacy, information sharing and raising public awareness, at various fora and in collaboration with multiple stakeholders and partners to ensure that drought and food humanitarian emergencies are minimized on the continent through enhancing preparedness and building resilience.  
They also agreed to expedite the process of renewing the existing Memorandum of Understanding between UNOCAHA and the AUC’s Departments of Rural Economy and Agriculture and Political Affairs.
Mrs. Janine M. Cooper is also Chair of the UN Liaison Team that is working closely with the AU Commission on multiple areas of mutual interest including the preparations for the commemoration of 2014 the AU Year of Agriculture and Food Security.

Friday 25 April 2014


 Yes  Mr President

Honoured  to  to host  the  Former  Tanzania  Prime  Minister  H.E  Fredrick  sumaye   at our  home with  my  family












Above  are  pictures  from  West  minister  Abbey  whereby  the  Tanzania  High  commissioner  led a  delagation of   Tanzanians  and  Friends  of  Tanzania  for  a  a  prayer  of the  Nation  to  mark  50  years  of the  union  between  Tanganyka  and  Zanzibar
'The  heavens  are  not  too  high
his  praise  may thither fly
the  earth is  not  too  low
his  praises there may  grow,
Let all the  world in  every  corner  sing,
My  God  and  King'

World Malaria Day: “Invest in the future. Defeat malaria”.

Addis Ababa, 25th April 2014- The African Union (AU) joins the international community in celebrating the World Malaria Day under the theme "Invest in the future. Defeat malaria". The theme continues to reflect the renewed call for the urgent need for more resources continentally and globally to eliminate malaria.
Substantial progress has been made in Africa but efforts need to be sustained
The commemorations come at a time when progress in responding to malaria in Africa includes a 49% decline in malaria mortality rates and a reduction of Malaria mortality rates among children in by 54% since 2000. However Africa continues to account for 85% of malaria cases and 90% of malaria deaths worldwide.Malaria still kills an estimated 627 000 people every year, most deaths occur among children living in Africa where a child dies every minute from malaria.
Increased political commitment and expanded funding have helped to reduce malaria incidence by 31% in Africa. The intensification of efforts already undertaken to prevent malaria, including universal coverage of bed nets, is estimated to save the lives of up to three million African children by 2015; hence the importance of continuing efforts and mobilising more resources for the fight against malaria.
“As we project into the future of malaria elimination, we must drive the big push to end malaria through innovative domestic financing models to improve access to prevention, diagnosis and treatment of malaria as well as research” said Dr. Mustapha Sidiki Kaloko, African Union Commissioner for Social Affairs. “We cannot and should not continue to rely on external funding for health. The experience of the last few years has shown that external funding is neither predictable nor assured.” He added.
Why do we need a big push in our fight against malaria?
The big push is needed for three reasons (1) recent economic crises have left an estimated annual funding gap of US $3 billion, with an immediate gap of US $3.6 billion through 2015 in Africa alone that threatens to unravel the gains made against this preventable and treatable disease (2) malaria causes out-of-pocket expenditure for households and loss of productivity to the economy resulting in massive losses to economic growth, with an estimated cost of US$ 12 billion each year in lost productivity in Africa alone and (3) new data suggests that for every US $1 invested in malaria in Africa, an estimated US $40 GDP is generated in return.
As much of the continent expands at unprecedented rates, enormous leadership and political will continue to play an increasingly critical role through both international and domestic financing as the continent works to overcome pressing global health challenges, like malaria, and into a more prosperous and sustainable future. The African Union, in its support and advocacy agenda against Malaria has dedicated various initiatives and programs including: the AIDS Watch Africa and the Africa Malaria Elimination Campaign among others. It has also joined its efforts with the partners and other stakeholders during the 5th inter- Agency Meeting on Coordination and Harmonization of HIV/AIDs, TB and Malaria Strategies aimed at boosting the response to the fight against these diseases.
The African Union Commission Strategic Plan for 2014-2017, 2013 Abuja Declaration, the AU Roadmap and the African Union Common Position on the Post 2015 Development Agenda all provide a solid framework to ensure ownership including increase domestic financing while still providing a framework for the continued importance of development cooperation.

COMEDAF VI:  Experts Discuss Education Development in Africa, at Sixth Ordinary Session of Conference of Ministers held in Yaoundé

Description: Description: COMEDAF VI senior officials meeting group photo.jpg

Yaoundé,  April 2014 – African Experts in education kicked off on 22 April 2014, a two-day brainstorming meeting at the Palais de Congres in Yaounde, Republic of Cameroon, ahead of the Sixth Ordinary Session of the Conference of Ministers of Education of the African Union (COMEDAF VI) scheduled to take place on 25 April 2014. The meeting of Senior Officials was preceded on 21 April 2014 by the African Union Education Partners Meeting that grouped over 40 partner institutions co-chaired by Dr. Abdul-Hakim Elwear, Director for Human Resources Science and Technology and of Dr. Klaus-Ludwig Keferstein, Ambassador of the Federal Republic of Germany in Yaoundé. The partners discussed how to coordinate their respective support in order to strengthen the education capacities in Africa. 
Addressing the opening ceremony of the Education Senior Officials Meeting, the Minister of Basic Education of the Republic of Cameroon, Mrs. Youssouf Hadidja Alim, thanked the African Union Commission for coordinating the meeting. She. noted that as the end date for the 2nd Decade of Education for Africa and Education for All is approaching, there is need to urgently mobilize collective resources of the Member States to achieve the priorities. The Minister emphasized on the importance of training and skills development for effective employment of the youth, focusing on concrete proposals an recommendations to improve the continental policy in training and education.  Minister Hadidja urged the senior officials to produce relevant and useful recommendations in order to make appropriate contributions to the state of Education in Africa.

Description: Description: education partners meeting 0.jpgSpeaking earlier, Dr. Hakim, expressed appreciations to the host government for their cordial reception and hospitality.  The AU Director for HRST noted that several education development agencies were invited to attend the senior officials meeting, following the successful meeting of the AU Education Partners meeting. He further presented the AU vision on education under the African Agenda 2063. Bridging gaps and creating synergies in education policies in Africa is an essential part of the agenda towards the post 2015 Development Agenda” he noted.

Description: Description: COMEDAF VI senior officials meeting hall.jpgOn the other hand, Dr Brigit Okpa on behalf of Dr MacJohn Nwaobiala, Permanent secretary of the Federal Ministry of Education of the Federal Republic of Nigeria and the outgoing Chair of COMEDAF V, pointed out the necessity to provide continual support to teacher development to contribute to sustainable growth and development in Africa. She underlined Africa’s need for teachers to train students with the view to become globally competitive. She mentioned the Pan African University (PAU) as an example of success in Higher Education and the acceleration of quality education in Africa..  

Presenting the Africa Agenda 2063, the Director for HRST recalled that the 22nd Ordinary Session of the Summit of Heads of States and Government of the AU in January 2014 considered the Framework of Agenda 2063, and requested the AU Commission to finalize the same for submission in July 2014 Summit, after discussion with stakeholders.  He added that, Agenda 2063 is a strategic framework and a call for action to all segments of African society to work together to build a common future and destiny.  It requires the engagement of the full energies and creativity of all Africans with the main drivers of this process being identified as good governance, policy and legal environment, human and institutional capacity, responsible and efficient private sector and media.  “It also requires building Pan-African values and work ethics at all levels” , he noted.

The Expert’s meeting featured presentation and discussions of the COMEDAF V held in April 2012 in Abuja, Nigeria; the progress report on the implementation of the Plan of Action for the Second Decade of Education by Dr. Beatrice Njenga, Head of Education Division of the African Union; and the progress and Implementation of the Pan African University by Professor Ogol, Focal Officer the Pan African University (PAU) at the AU Commission among others.

Representatives from AU Member States participated in the meeting including the following specialized institutions of the African Union:  Centre International des Filles et des Femmes en Afrique (CIEFFA), ACALAN, New Partnership for African Development (NEPAD) and some civil society organizations notably, the Africa Network Campaign on Education for All (ANCEFA); Education International (EI) and Africa Forum of Teaching Regulatory Authorities (AFTRA).
The following partner agencies attended the meeting: United Nations Educational, Scientific and Cultural Organisation (UNESCO), United Nations Children's Fund (UNICEF), the Association of African Universities (AAU), AVU, AFTRA, the Association for the Development of Education in Africa (ADEA), African Council for Distance Education (ACDE), Centre for Mathematics and Technology Education in Africa (CEMASTEA), International  Task Force for Teachers on EFA, Education International, EU Delegation to the AU and African Development Bank (ADB).

African Union engages talks with stakeholders over the Continental Free Trade Area

Description: IMG_0496
Addis Ababa, Ethiopia, 24th April 2014: The Senior Officials Session of the extraordinary Session of African Union (AU) Conference Ministers of Trade and Industry kicked off 23 April 2014. During four days, The Member States of the African Union, the Regional Economic Communities (RECs), the United Nations Economic Commission for Africa (UNECA) and the African Regional business organizations will be discussing some pertinent issues which impact on Africa’s continental integration agenda. The main objective of this meeting is to implement the mandate given by the High Level African Trade Committee (HATC) of Heads of State and Government to discuss and provide sound recommendations on the Work Programme, Negotiating Modalities and Principles towards the 2015 launching of the Continental Free Trade Area (CFTA) negotiations as well as to consider reports on Africa’s response and implications of the WTO Bali Agreement. The meeting all also considers assessment studies on Africa’s Growth and Opportunity Act (AGOA) and the state of play of negotiations of Economic Partnership Agreements (EPAs).

As we proceed to build the CFTA let us put African people  at the centre of this agenda, I mean this in the broadest sense especially, with the involvement of constituencies such as civil society, private sector constituents, women and youth organizations inter alia. We are building the architecture for the future of the continent and not the past”, the Director for Trade and Industry, Mrs. Treasure Maphanga highlighted in her speech. She noted that intra-regional trade flows among African countries are lower than in other regions, averaging 10-12% compared to 71% in Europe, 52 in Asia and 52 in intra –North America among others. But she underscored the fact that, about 60 to 70% of African families are sustained by the informal economy which could explain why the figures of intra-African trade are low. In this regard, Mme Maphanga stressed that unity is what makes Africa stronger and will present greater market opportunities for the private sector, both domestic and international firms. “The challenge before us is to ensure that all of us gathered here become the first champions and commit ourselves by the end of this meeting to play a key role in mobilizing support at the national and regional levels for the AU agenda on the CFTA and African market integration.  If we do not believe in our own agenda, how can we be custodians that are accountable for the enormous resources that go into organizing such gatherings?” she said.

In his opening remarks, the chair Mr. Abel Guetimbaye Mbaïkombe, Deputy Secretary General for Trade and Industry in Chad, reminded the participants that the meeting also aims at preparing working documents to be submitted to the ministerial session in order to get orientations and paths to follow throughout the different negotiations phases. “I would therefore beg your insightfulness, your sense of responsibility and seriousness so that our meeting draws meaningful conclusion and lives up to our expectations. This is why we must seize the opportunity to exchange, share and evaluate the outcomes of the different studies related to the agenda because the economic history teaches us that in order to take better advantage of the multilateral cooperation, we have to first consolidate the internal acquis, to forge the sense of solidarity by building a united block to win regional and world markets”, he emphasized.
The meeting was prepared on the basis of the decisions taken by the last summit whereby the High Level African Trade Committee directed Ministers of Trade to hold an Extraordinary Session. This ministerial session will be held from 27 to 28 April 2014 at the AU Headquarters in Addis Ababa, Ethiopia.

Description: IMG_0546

For further information please consult our website: http://ti.au.int

Monday 21 April 2014

GW logo  

Urgent investigation into shooting of Virunga Park Chief Warden needed

16th April 2014
The shooting of Emmanuel de Merode, the head of Virunga National Park must be urgently investigated, said Global Witness today. De Merode was shot at least twice in an ambush in eastern Democratic Republic of Congo on Tuesday and is in a serious but stable condition.
 
Virunga is Africa’s oldest national park, a World Heritage Site and home to some of the last remaining mountain gorillas on the planet. De Merode has been Chief Warden of Virunga since 2008 and a vocal opponent of oil exploration and the lucrative, illegal charcoal trade in the park. An investigation should examine whether there is any link between the exploitation of natural resources and the shooting.
 
Yesterday Global Witness published Deadly Environment, a report which documented the alarming rise in killings of environmental activists in recent years. It uncovered 147 recorded deaths in 2012, nearly three times as many as a decade earlier, and highlighted how the true number of people killed is likely to be much higher because information is very hard to verify, especially in Africa. The attack on de Merode is a terrible example of the kind of violence facing those working to protect the environment from unsustainable exploitation and abuse.
 
De Merode’s car was attacked by three men with assault rifles as he returned to his home at the park’s headquarters in Rumangabo from Goma. Despite receiving bullet wounds, he reached the Heal Africa hospital in Goma conscious and was operated on by a UN surgeon. He is due to be airlifted to Nairobi. The identity of his attackers and their motives are not known.
 
“We are extremely saddened and concerned about this horrific attack on a brave man. De Merode should be lauded for his principled leadership of Virunga National Park and his huge efforts to revive the park,” said Patrick Alley, Director of Global Witness. “Sadly, this is part of a growing international problem, and very little is being done about it. There should be an immediate investigation to bring to justice those behind this incident. Our thoughts at this time are with him, his family and colleagues in Virunga.”
 
The park is focus of a new feature-length documentary, “Virunga”, which is to premiere at the Tribeca film festival in New York tomorrow. The film is reported to follow “a handful of passionate park rangers and journalists fighting to secure the park’s borders”.
 
Virunga is in a remote part of unstable eastern Congo, still dotted with rebel groups linked to the Rwandan genocide of 1994 and its aftermath. Nearly 200 of the world’s last 880 remaining mountain gorillas live in the park, neighbouring the area in Rwanda made famous by primatologist Dian Fossey and the film Gorillas in the mist. Attacks on park rangers in Virunga are frequent, the most recent being in January 2014 when one ranger was killed and two others injured in an ambush.