Wednesday 21 August 2013




Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea tuzo na cheti ya BEN Diplomatic Awards-2012 toka kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara tarehe 19,8.2013.  Waziri Dkt. Mukangara alikabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya Taasisi ya Bright Entertainment Network (BEN) ya Uingereza baada ya kuwa mshindi miongoni mwa waliowania kutoka nchi za Afrika, Carribean, Asia na Pacific katika jitihada za kuendeleza rasilimali watu katika Taifa kwa mwaka 2012.

PICHA NA JOHN LUKUWI