Wednesday 2 November 2011




U.S. Concern over Uganda's Deteriorating Human Rights Record
Press Statement
Victoria NulandDepartment Spokesperson, Office of the Spokesperson
Washington, DC
November 2, 2011
The United States is concerned about Uganda’s deteriorating human rights record. Recently the Ugandan government has failed to respect freedoms of expression, assembly, and the media, as well as its commitment to protect the human rights of all Ugandans.
In April and May of this year, Ugandan security forces killed at least ten civilians, including a two-year old girl, while attempting to disrupt peaceful protests against rising prices. To prevent renewed protests in October, police preemptively arrested several dozen opposition and civil society activists and placed opposition leader Kizza Besigye under house arrest. Police charged several of those arrested with the capital offenses of treason and concealment of treason, even though the legal basis for such charges is questionable. On October 31, police again arrested Besigye for attempting to walk to work. In October, the Ugandan government also urged Parliament to adopt draft legislation severely limiting public meetings of three persons or more. This legislation specifically references meetings where participants discuss government principles, policies, and actions, and appears to target opposition and civil society organizations critical of the government.
The United States continues to urge the elected Government of Uganda to protect the rights of all of its citizens, including minority groups.








Wadau picha hizi zinatisha lakini mtuwie radhi kwani ndiyo hali halisi iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Tabata na hakuna mtu anayeweza kuvumilia maovu haya yanaofanywa na watu wasiokuwa na utu. Leo saa 12 asubuhi hospitali ya taifa Muhimbili imempokea mgonjwa anayeitwa Mussa Shabani(42) akiwa na shoka iliyonasa kichwani
(kama picha inavyooneka hapo juu ).
Bwana Mussa ni mlinzi katika nyumba ya Joseph Mwakyusa huko Tabata. Majambazi yalipofika nyumbani kwa bawanaMwakyusa yalimjeruhi kwa shoka bwana mussa na, wakati majambazi yaliyovamia nyumba ya Mwakyusa yakiendelea kufungua spea za gari aina ya Toyota verosa. kwa bahati nzuri bwana Mwakyusa alishtukana ndipomajambazi hayo yalipokimbia na kutoweka yakimuacha mussa katika hali mbaya na shoka ikiwa imenasa kichwani.

Madaktari wa taasisi ya tiba ya mifupa MOI walifanya kazi ya ziada kuitoa shoka hiyo na sasa Mussa yupo chumba cha wagonjwa
mahututi. bwana.

Jumaa Almasi afisa uhusiano mkuu wa MOI amethibitisha tukio hilo na kusema ''Ni kweli bwana Mussa amepokelewa hapa MOI akiwa na shoka iliyonasia kichwani mwake lakini madaktari wamemfanyia upasuaji na kuitoa na sasa hivi yupo chumba cha wagonjwa mahututi''