Monday 28 January 2008

kenya fundraising

The day Kenyans in The Diaspora prayed and fundraised for the needy in Kenya















TANZIA
Tunawataarifu ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wote kuhusu kumuaga ndugu yetu mpendwa Renatus Kabakaki kesho tarehe 29/01/2008, kuanzia saa 12:00 jioni, mpaka saa 2:00 usiku.Tendo la kumuaga litafanyikia katika anuani ifuatayo:




T. Crib & Sons




Funeral Directors




Victoria House,




10 Woolwich Manor Way,




Becton,




London,




E6 5PA. Tel: 0207-476-1855 By bus 101 and 474 from East Ham and 262 from stratfordBy DLR from Canning Town to Becton station which is opposite the address above, near ASDA




Becton.








DEATH ANNOUNCEMENT








RENATUS KABAKAKI 1977-2008

Familia ya Mzee D.Kabakaki wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Renatus Kabakaki aliyafariki ghafla akiwa na umri wa miaka 30, hapa London tarehe 23/01/08. Wazazi wa marehemu wanaishi Bukoba - Tanzania, wanawaomba watanzania kushirikiana nao katika mchango wa kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea nyumbani Bukoba wiki hii. Hivyo tunawaomba watanzania wote wanaoweza kujitolea mchango wowote wawasiliane na watu wafuatao:




Mr. Desi Kabakaki 07956-398-957




Mr. Alphonce Maduhu 07958-370-015




Ms. Patricia Visram 07830-358-179




Miss. Jessica Maduhu 07767-877-930




Iwapo mtu atapenda kuja nyumbani kwao na marehemu kushirikia nasi, anakaribishwa. Address ni 302 Strone Road,Manor Park,London,E12 6TP.Tel:0208-4718-840 By bus 101,474,25 and 86The nearest station by tube; District line (East Ham)The nearest station by British rail; (Manor Park) Ahsanteni kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki.