Saturday 22 December 2007

msiba london
"Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Rashid Omar Hamadi, ambaye amefariki hapa UK. Mpaka sasa tunatafuta ndugu wa marehemu wa karibu ili tupate kujulisha vyombo husika. inasemekana marehemu ni mtu wa Nungwi, Zanzibar, na rafiki yake wa karibu wa hapa UK anaitwa Moshe ambaye pia hapatikani. Kama unamjua marehemu au rafiki yake au ndugu yake, basi tunakuomba mjulishe Ustadh Khamis: 07932721729 (international 0044 79327 21729)'haraka', ili tumsaidie mwenzetu. Maelezo zaidi, www.zenjydar.co.ukTunakuomba wajulishe na wengine.Shukran!"-- Saleh JaberZenjydar Community Associationwww.zenjydar.co.uk